Mambo ya umuhimu kujifunza ili kufikia Daraja la juu.
I. Mtambue kamanda mkuu mbele yako
II. Jua kuishika amri yake
III. Jua kutekeleza kila amri kwa haraka na kwa ubora
IV. Jifunze kumshukuru Mungu
Kwa maana ni kwa Neema tu...mbele ya bosi wako,kiongozi wako n.k
Utaaminiwa na yeye aliye juu na kukupatia Kigali cha kuingia na kutoka
kwa furaha kuliko wengine.Ili litimie neno linalosema 'amenipaka mafuta
ya furaha kuliko wengine'
Pastor Phillipo Guni,
Efatha Ministry - Ruvuma
No comments:
Post a Comment